Nyumba inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam
NYUMBA YA KUJITEGEMEA INAPANGISHWA;
#Vyumba_Vinne
⛳MAKONGO JUU MITA 200 KUTOKA LAMI
📍Ina Vyumba Vinne
📍Vyote ni Masta
📍Sebule kubwa ya Juu na Chini & Dinning
📍Public Toilet
📍Jiko kubwa lenye makabati & Store
📍Electric Fence
🌹Paving blocks
📍Fence
Kodi ni Tsh Milioni 1.7 kwa Mwezi (#Miezi_6)
Call 0683537444