Nyumba inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam


Hii nyumba inapangishwa mahala ilipo ni makongo juu hii nyumba inavyumba viwili vya kulala kimoja wapo ni master bedroom and sitting room and dining and kitchen and pablic toilet hizinyumba ni apartment zipo nyumba nne tu kwenye fenci kila mtu anajitegemea luku maji yapo ya dawasco masaa 24 parking ipo ya kutosha bei yake ni TSH 550000 kwa mwezi malipo yake ni kuanzia miezi sita na kuendelea kwa Mawasiliano zaidi piga number zifuatazo ambazo ni 0755411160/ 0717455694 /0688647484 ndugu mteja epuka matapeli