Nyumba inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam
🔰 NYUMBA NZURI NA KUBWA SANA Inapangishwa, MAKONGO ya MWANZONI
📍 800,000/= ×6
_______
___
• Vyumba 3 vya kulala (Kati ya hivyo vyumba 2 ni master)
• Sebule Kubwa
• Jiko lenye Makabati
• Choo cha Public
* Full A/c
* Ndani ya Fensi
* Parking
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Maji Ndani
______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 800,000/=
#Kupelekwa kuona nyumba elfu 20,000/=
____________
0753-172-516