Nyumba inapangishwa Makumbusho, Dar Es Salaam


NYUMBA HII INAPANGISHWA IPO MAKUMBUSHO JIRANI NA STENDI KUU YA MABASI
- INA VYUMBA V4 KIMOJA MASTER
- MATUMIZI YA NYUMBA HII KWA AJILI YA OFISI
- BEI TZS 1.5MIL KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
- UKILIPA MWAKA UTAPEWA KWA BEI YA TZS 1.2MIL