Nyumba inapangishwa Makumbusho, Dar Es Salaam


Property Listing: Chumba, Sebule na Jikoš
Location: Maeneo ya Makumbushoš
Rooms:
⢠Chumba (Bedroom)
⢠Sebule (Living Room)
⢠Jiko (Kitchen)
Rent: 600,000 TZS per monthš„
Specifications:
⢠Nyumba ipo Maeneo ya Makumbusho
⢠Choo ni Public Toilet
⢠Jiko lake ni Zuri Kabisa
⢠Fence na Parking ipo
⢠Maji na Umeme unajitegemea
⢠Umbali kutoka Barabarani ni dakika 5 tu
⢠Inaruhusiwa Kufanya AirBnB
Payment Conditions:
⢠Kodi ya Nyumba kwa Mwezi ni 600k
⢠Malipo ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:
⢠Gharama za Kuona Nyumba ni 20k (Inalipiwa Mara Moja Hadi Utakapopata Nyumba)
⢠Gharama za Dalali ni Mwezi Mmoja wa Kodi ya Nyumba ambayo Hulipwa na Mpangaji, Tofauti na Kodi
Contact:
⢠0744701813 (Normal/WhatsApp)š²