Nyumba inapangishwa Makumbusho, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA KWA BEI YA OFA KABISA YA SHILINGI MILIONI 495, MAONGEZI YAPO
- INA VYUMBA 8 VYUMBA 6 MASTA,
- INA SITTING ROOM, DINING ROOM KITCHEN NA STORE
- NYUMBA NI GOROFA IMEJENGWA MTINDO WA MOTEL
- ENEO SQM 800
- INAUZWA NA MAHAKAMA
- IPO MAKUMBUSHO ALIMAUA ROAD MITA 50 KUTOKA LAMI, BARABARA YA ZEGE IMEUNGA LAMI MPAKA GETI LA NYUMBA
- INAFAA KUWEKEZA KAMA LODGE, HOTELI, HOTELI AU APPATMENT ZA KUPANGISHA AU KUISHI TU MWENYEWE