Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro






APATIMENTI KALI SANA MPYAA KABISA. INAPANGISHWA ZIPO TATU KATIKA COMPAUND MOJA
IPO KIMARA SUKA
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1,
PKPK 1000/=
TAR4/9/2025 ITAKUWA WAZI
===
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI2 SEBULE KUBWA CHOO NDANI CHA PABLIC NA JIKO KUBWA
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 300,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI. 300,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347