Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA
MAHALI-MERIWA
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA V3 VYA KULALA V2 NI MASTER
SEBULE
JIKO ZURI
PUBLIC TOILET
STOO
HUDUMA
MAJI
UMEME
PARKING SPACE IPO KUBWA SANA
ZIKO 2 KWENYE COMPOUND
BEI-300,000/= ~MWEZI
MUDA WA MALIPO-MIEZI O3+ MWEZI MMOJA MALIPO YA DALALI UTALIPA MPANGAJI
GHARAMA ZA KWENDA SITE-10,000/= MAWASILIANO
0682737603(call)
0653232555(Whatsap
KWA MAHITAJI YA VIWANJA NYUMBA NZURI ZA KUNUNUA DODOMA MJINI PIGA SIMU 0653232555/0682737603