Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


NAPANGISHA SINGLE SELF HAPA ZIPO JUMULA TATU NDANI YA NYUMBA MOJA
ZIPO CHUO CHA MUST DAKIKA 1 UNAKUWA GETI KUU LA KUINGILIA CHUONI MBEYA JIJI
NYUMBA NI MPYA KABSA NA NI KALI SANA
WANAHITAJIKA WAPANGAJI MABINTI PEKEE KWA AJILI YA USAFI
KODI YA KILA CHUMBA NI 100K. LAKI MOJA KWA MWEZI MALIPO KUANZIA MIEZI MITATU
NDANI MNAISHI WAPANGAJI PEKEE
MAWASILIANO 0756258721


















