Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA INAPANGISHWA PEKE YAKE KWENYE FENSI
NI NYUMBA YA PILI KUTOKA LAMI
NB-INAFANYIWA MAREKEBISHO YOTE MUHIMU KAMA MAKABATI JIKONI,VYOO,SHOWERS,NK
INAFAA SANA KWA OFISI NA HATA MAKAZI PIA
______
MAHALI-MLIMWA C YA MWANZO KABISA
______
MUUNDO
-VYUMBA 03 VYOTE MASTA
-SEBULE KUBWA SANA
-JIKO
-DINING
-PUBLIC TOILET
-STOO
NYUMBA NDOGO YA NJE YENYE
-MASTA
-SEBULE
-JIKO
_________
HUDUMA
-MAJI YAPO
-UMEME UPO
-IKO NDANI YA FENSI
-WATER RESERVE TANK IPO
_______
BEI-1M@MWEZI
________
MUDA WA MALIPO-MIEZI 06
_________
MALIPO YA DALALI-KODI YA MWEZI
(UNALIPA MTEJA/MPANGAJI)
__________
GHARAMA ZA KWENDA SITE-10,000/=
__________
MAWASILIANO
0767833496(Call)
0622111186(whatsap)


















