Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


Apartment chumba na Sebule choo na jiko inapangishwa
Luku sabumita
Maji yapo
Apartment bado mpya
Hiko NDANI ya uzio
Parking ya gari ya kutosha
Madirisha Aluminium
Full tailizi
Apartment iko maeneo ya Changombe unubini
Kwa mwezi350000
Kodi miezi 3
Mwezi mmoja Wa deposit
Amabao ni 350000
Malipo ya mwezi mmoja Kwa dalali Rashid
Kumuonesha mteja nyumba elfu 10000
Kwa mawasiliano piga 0754206815/0629956838