Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


APPARTMENT INAPANGISHWA
________
MAHALI-CHIDACHI
_________
MUUNDO
1.GROUND FLOOR
-SEBULE NZURI
-JIKO
2.GHOROFA YA KWANZA
-VYUMBA 02 VYA KULALA VYOTE MASTA
-SEBULE
________
KODI-500,000@MWEZI
_______
MUDA WA MALIPO-MIEZI 06
_______
PIA KUNA NYUMBA ZA CHINI
1.MASTA KUBWA+JIKO BEI 200,000@MWEZI
2.MASTA KUBWA+SEBULE+JIKO BEI 300,000@MWEZI
_________
HUDUMA
-MAJI YAPO
-UMEME UPO
-NDANI YA FENSI
-WATER RESERVE TANKS ZIPO
-PARKING SPACE KUBWA
-ELECTRIC HEATERS
-PUBLIC TOILETS ZA NJE
-STOO
________
MALIPO YA DALALI-KODI YA MWEZI
(UNALIPA MTEJA/MPANGAJI)
________
GHARAMA ZA KWENDA SITE-20,000/=
________
MAWASILIANO
0767833496(Call)
0622111186( Whatsap)