Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA INAPANGISHWA KIKUYU
✓ Ina Vyumba 2 Vyote Master ina Sebule, Jiko
na Public Toilet Ndani ya Fensi
✓ Inajitegemea Umeme na Maji
✓ Location Kikuyu Karibu na St John's
Ipo Karibu na Usafiri Baji 1000/=
Daladala 500/=
✓ Kodi .........270000/= Kwa Mwezi
✓ Mawasiliano....... 0679730500