Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro
NYUMBA INAPANGISHWA VYUMBA VYA KULALA 4
SEBLE DIANING NA JIKO
KIMOJA MASTER NA PABLICK NYUMBA NI KALI SANA .
HAINA FENSI ILA USALAMA UKO VIZURI .
NYUMBA INAJITEGEMEA KILA KITU
IKO MBEZ LUGURUNI BODABODA NI 1000 .
KODI LAKI NNE 400000
MIEZI 6
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347