Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-BAHARI BEACH
NYUMBA NZURI YA KISASA
YA FAMILIA KUBWA
INAJITEGEMEA
YENYE;
Vyumba vinne vya kulala kimojawapo ni master, Dinning, Sebule, Jiko & Public Toilet
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Fencedhouse
INA BOYCOTT PIA YA CHUMBA KIMOJA NJE
KODI TSHS LAKI 8 KWA MWEZI
MAONGEZI YAPO PIA
MALIPO NI MIEZI 6
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 718 936 416
+255 768 914 118
#NB/-Swipe left 👈🏽 kuona picha zake nyingine bila kusahau wale wenye kuishi na ukoo hii itawafaa sanaa 🤔