Nyumba inapangishwa Mazimbu, Morogoro
NYUMBA INAPANGISHWA
IPO MOROGORO
MAHALI MAZIMBU BARAKUDA
SIFA ZAKE:
•Ina vumba vinne self 2
•vyumba Vyote vina makabati
•Sebule kubwa
•Jiko lenve makabati •
•Choo kizuri
•sehemu ya kulia chakula
• Sehemu tulivu
• Maji ya Uhakika
• Umeme wa Uhakika
• Usafi wa Njee BURE
• Parking ipo kwa wale wenye Gari
• Umbali mita chache kutoka barabara ya lami
•store
• Full AC
• Privacy ni ya hali ya JUU, hakuna mwingiliano (Inajitegemea)
• Malipo kwa BANK
BEI: 800,000/= kwa mwezi 1
Service Site 20,000/=
Call S 0689712327 or 0679187316
NB:UTARATIBU UZINGATIWE