Nyumba inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa ipo mbagala mbande kisewe location shule ya msingi, bei laki 2 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 3 nakuendelea. Nyumba ina rooms 2 vyakulala, sitting room, room moja ni master bedroom, jiko lipo, public toilet ipo, unajitegemea fensi ya parking ipo, umeme luku yk unajitegemea pamoja na maji pia mita yk, tilizi, madilisha vioo. Umbali wake kutoka kwenye kituo cha daladala hadi kwenye nyumba ni kama mwendo wa dakika 10 ivi kwa kutembea kwa miguu. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 0719250426.