Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(400,000 × 6) MBEZI MWISHO JIRANI NA STAND YA MKOA MAGUFULI
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA IPO JIRANI NA BARABARA BEI NI 400,000/= × 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 400,000/= × 6
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO JIRANI KABISA NA STAND KUU YA MABASI (MAGUFULI TERMINAL) KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300