Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA IPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STENDI YA MAGUFURI
----------NYUMBA HII INASIFA ZIFUATAZO
--NYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA WAPO NI MASTER
--SEBULE KUBWA PAMOJA NA
--JIKO
------UNAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
๐ฐ-BEI YA NYUMBA HII NI 250,000 KWA MWEZI MMOJA
-------ILIPIWE MIEZI6
---UMBALI KUTOKA STENDI NI KILOMETAI..5
---PIKIPIKI 1500
---DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPAPO NYUMBA
---KUONA NYUMBA HII15000
--KALIBU NDUGU MTEJA
PIGA SIMU #0625606710