Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#INAPANGISHWA
BEI NI 120,000/= X 6
ILIPWE LAKI 1 NA ELFU 20 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
ποΈ APARTMENT HII IPO #MBEZI_KWA_MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3
#USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
π₯KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316Whatsp
#0769680796whtsp