Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(230,000X6)MBEZI KWA MSUGURI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA 
LOCATION:
KWA MSUGURI 
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 13 KWA MIGUU 
SIFA ZAKE:
VYA KULALA 
SEBULE 
JIKO
PUBLIC TOILET NDANI 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI 
KODI 230,000 X 6
ITAKUWA WAZI TAREHE 1/7/2024
KULIPIA RUKSA 
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453



















