Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 3
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA YA KUTOSHA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#GARDEN
BEI NI 350,000/= X 3
ILIPWE LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
ποΈ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA YA ZEGE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700
0655256419