Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Bei kitonga kabisa wahi mapema ipo ya 100,000 na 200,000 MBEZI KIBANDA CHA MKAA
APARTMENT NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA NA ZIPO SEHEMU NZURI
💥ZIPO APARTMENT ZA AINA MBILI TOFAUTI
SEHEMU 'A'
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 200,000/= X 6
SEHEMU 'B'
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
‼️ HAKUNA JIKO
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 100,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA UKAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300