Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







——
APARTIMENT NZURI SANA WALE WAVIVU WAKUTEMBEA WAI NYUMBA HII
IPO TEMBONI KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI DK SITA KUTEMBEA
INACHUMBA SEBULE JIKO OPEN KITCHEN I CHOO PUBLIC
TILIS GYUPUSAM SLID WINDOW
KODI 2570/ X 6 LAKI MBILI NA SABINI
APARTIMENT HII YAKISASA AMBAYO IPO JINO TU. ITAKUWA WAZI TAR.1/ 5/2025/ KUONA KULIPIA RUKSA
Kupelekwa kweny nyumba elfu kumi na tano itadumu mpaka unapata nyumba dalali mwenzi mmoja
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343