Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(400,000 Γ 6) MBEZI KWA MSUGURI
#APARTMENT INAPANGISHWA #MBEZI_KWA_MSUGURI / UNAWEZA INGILIA KIBANDA CHA MKAA KM 1.3 AU BODA
ππππ
YA JUU NDIO KUNA MTU ANATOKA 30/6/2024 KUONA NA MALIPO RUKSA.
__
Vyumba 2 vya kulala na vyote vinachoo ndani
Sebure kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Store
Barcon
Choo cha familia
Ipo ndani ya fensi na hapa zipo sita, ila hii ndio bado
Maji na Umeme mita yako
Full paving blocks
Mazingira matamu sana
__
Kodi 400, 000/= Γ 6
(HAPA KUNA HELA YA KULINDA UHARIBIFU INALIPWA SAMBAMBA NA KODI)
Kuoneshwa site 15 elf
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
__
Contact:
0787205300
0787205300
_____________________
πNDUGU MTEJA TEMBEA NA HELA UKΔ°JA HΔ°Δ° HAΔ°KAΔ° KABΔ°SAAAAA......ππ