Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOMS ZINAPANGISHWA MBEZI MWISHO ROUND ABOUT YA GOBA
==
Chumba cha kulala kikubwa
Choo ndani
Jiko ndani
( MASTER BEDROOM NA JIKO)
Kodi 150,000 Kwa mwezi × 3 ( iliyowahi kukaliwa)
Kodi 170,000 Kwa mwezi × 3 ( mpya kabisa)
Nyumba Hizi zipo karibu Sana na barabara kutoka Mbezi unatembea Tu Kwa mguu dakika 5
Inajitegemea umeme maji yanaflow chooni na jikon
Ndani ya fence parking IPO
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0679447338
0753454167