Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(200,000X3) NA (250,000X3)MBEZI MWISHO 1KM KUTOKA STAND YA DALADALA MBEZIMWISHO.. NJIA LAMI TUPU..
➖➖➖➖➖➖➖
HAPA KUNA MASTER ZA AINA MBILI
KUNDI "A"
MASTER NA JIKO TUU
HII MASTER SIO KUBWA SANA..
KODI:(200,000X3)
➖➖➖➖➖➖➖
KUNDI "B"
MASTER KUBWA SANAA
JIKO
HAKUNA SEBULE HAPA
NDANI YA FENCE
KODI:(250,000X3)
➖➖➖➖➖➖➖
HUDUMA
LUKU YAKO
MAJI BURE HULIPI
ULINZI HULIPI UPO MASAA 24
USAFI HULIPI
WATER STORAGE TANKS ZA KUTOSHA
MAENEO YA KUPUMZIKIA MAZURI
PARKING KUBWA YENYE ULINZI
TAKA FREE
FREE WIFI
➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024