Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI MWISHO
#200đť–Ş
MAGUFULI STENDI UNAIONAAA
====
Chumba cha kulala master kikubwa
Sebule wastani
Choo ndani cha wageni[public toilet]
Jiko kubwa zuri
Ndani ya fence ila hailazi gari japo linafika mpaka getini Safi kabisaa
Umeme meter yako
Maji yanaflow
Umbali KM 1.5 Usafiri bodaboda 1000 Kutembea dakika 18-20
===
Kodi 200,000 Kwa mwezi ilipwe miezi 6
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
CALL 0683234124
0718367179
====