Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT 2 ZINA PANGISHWA MBEZI BEACH
--------
Vyumba 3 vya kulala vyote master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window.
Luku yako
Full air condition
Tiles
Gypsum
Slide window
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 20,000/=
Kodi $ 1000 kwa mwezi
Ilipwe miezi 6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni usd 1000
------------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach🇹🇿