Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


350,000 x 3 wahi chapu
APARTIMENT KALI SANA YA KIFAMILIA
KODI. 350,000/= × 3
INAPANGISHWA
IPO MBEZI MAGUFULI STAND
UMBALI KUTOKA STENDI NI KM 1,5
PKPK. 1000/
===========
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI KIMOJAWAPO NI MASTA
SEBULE KUBWA SANA
JIKO NA CHOO CHA PUBLIC
=========
ZIPO NNE KWENYE FENSI
NA KILA APATIMENTI INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI. DAWASA
=======
KODI. 350,000/=× 3
KUONA NYUMBA 15000/=
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300