Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 70,000 KWA MWEZI ร 6
Master bedroom nzuri Sana INAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI 70k
Umbali Dakika 2 Kwa mguu toka kituoni
Umeme wawili Tu, maji yanaflow chooni . Juu gorofani iko wazi
Chumba siyo kikubwa Sana Kwa bachelor bachelor kina faaa
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Malipo ya dalali nikodi ya mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba