Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA AU KIMARA TEMBONI KOTE UNAWEZA KUFIKA KWENYE NYUMBA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI (PUBLIC)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 200K X 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
UKIIPENDA NYUMBA HII NDUGU MTEJA UTALIPIA PESA YA UDALALI SHILINGI LAKI 2 BILA KUSAHAU SERVICE CHARGE SHILINGI ELFU 15
๐๏ธAPARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA AU UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 500
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.