Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







250,000 x6. 0759151524
APATIMENTI KALI SANA MPYAA KABISA. INAPANGISHWA ZIPO TATU KATIKA COMPAUND MOJA
IPO MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1, lami lami
PKPK 1000/=
===
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA SEBULE CHOO NDANI CHA PABLIC NA JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 250,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI. 250,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0679 956 863
0759151524
0781 418 437