Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


HOUSE FOR RENT APARTIMENT
IPO MBEZI BEACH TANKI BOVU
VYUMBA V2 VYA KULALA#SEBLE#JIKO NA CHOO
CHUMBA KIMOJA MASTAR
BEI LAKI 450,000/ KWA MWEZI
MUDA WA MALIPO NI MIEZI 6
NYUMBA IPO WAZI KESHO UKIJA UTAONA NDANI KOTE FRESH
UWAI MAPEMA SANA MANA AIWEZI KULALA II KESHO KAJUMBA KAMEKAA UNYAMA SANA NDANI
KWA MAELEKEZO ZAIDI PGA SIM
📲 0719523533 📶
📲 0748887892 📶 ya WhatsApp
0689590210 WhatsApp number
SERVICE CHARGE YA KUONYESHWA NYUMBA NI 20K