Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENT KALI SANA INAPANGISHWA IPO #MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAA KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
#USAFIRI BAJAJI 700/ BODA BUKU UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
JINSI ILIVYO
#CHUMBA MASTER KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA
#PABLICK TOILET
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
MAJI YANAFLWOR JIKONI NA CHOONI
IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
#KODI 250,000 X 4, 5, 6, 12
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343