Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


#0625606710
APARTMENTS MPYA MPYA
KALI SANA ZINAPANGISHWA
💰KODI. 200K
MALIPO MIEZI 6
ZIPO MBEZI KWA YUSUFU
BRBR YA MAGOE
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI
KM 1,5
DALALI 700/=
BAJAJI 1000/=
=========
UKISHUKA TUU!
KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE GETI
====
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTER KUBWA SANA
SEBULE KUBWA
NA JIKO NDANI
ZIPO NNE 4/
NA KILA APATIMENTI INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
💰KODI 200,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 200,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA