Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(250,000 × 6) MBEZI KWA MSUGURI
NYUMBA NZURI KABISAAA
Location. Msuguri(Dsm) 🇹🇿
Umbali:1 Km BODABODA 1000/=
KUTEMBEA 15 DAKIKA
__________________________
MUUNDO ÷
✔️Vyumba 2 vya
📌Hakuna master
✔️Choo ndani
✔️Jiko zuri La Kisasa
✔️Nyumba Ni nzuri mnoo
✔️ Mazingira Mazuri mno
‼️Zipo mbili tu kwenye fance 1
Ila hii ndo ipo wazii
_______________________________________
HUDUMA ÷
✔️Maji (YAPO NDANI) # 2
✔️Umeme _LUKU YAKO
📌 Ndani Ya Fensi & PARKING KUBWA SANA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 250,000/=TZS. Kwa Mwezi
Malipo ni Miezi 6 + Mwezi 1 wa dalali
_________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
_________________________________________
Contact:
0654101710
0787205300
______________