Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
๐ฐNyumba Inapangishwa, MBEZI MWISHO
๐ 250,000/= *3
๐ Ya Karibu na Barabara
________
__
โข Chumba Cha Kulala
โข Sebule
โข Jiko
โข Choo Ndani
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Ipo Ndani fa Fensi
* Parking
#Umbali wa dakika 5 kwa miguu
#Note: Inakuwa wazi tarehe 01/05/2024, kulipia ruksa ukasubiri kuhamia tu
_____
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 250,000/=
#Service Charge 15,000/=
______
0753-172-516