Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION MBEZI KIBANDA CHA MKAA KM 1,5
KUTOKA STEND KIBANDA CHA MKAA
USAFIRI BAJAJI ZIPO NA PIKIPIKI KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
_________________
hii ni chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
________________
Kodi kwa mwezi ni laki mbili tuu/=
(200,000)
X 6
Kwa maelezo zaidi Piga simu
##0655256419