Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(250,000X3) NA (200,000)MBEZI MWISHO MSIGANI
➖➖➖➖➖➖➖➖
MAHALI: MBEZIMWISHO DK 10 KWA MIGUU KUTOKA STAND
➖➖➖➖➖➖➖➖
SIFA ZA NYUMBA
MASTER KUBWA SANAA
JIKO NDANI LENYE MAKABATI
HAKUNA SEBULE
NDANI YA FENCE
KODI:(250,000X3)
PIA KUNA MASTER NA JIKO (200,000X3)
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HUDUMA
MAJI YA DAWASA YANATOKA NDANI
LUKU YAKO
PARKING KUBWA SANA HATA LORRY LINAPARK
ULINZI
STORAGE YA MAJI HAPA UHAKIKA KABISA
SHIDA YA MAJI HAPA SAHAU
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NB: HIZI NYUMBA UKILIPA KODI UNAKUWA UMELIPA , MAJI HUMOHUMO, ULINZI, TAKATAKA, USAFI WA MAZINGIRA...MLINZI YUPO GETINI MUDA WOTE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453