Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAAA 
======
 chumba Cha kulala kikubwa sebule kubwa na Choo ndani (master Bedroom) 
na jiko OPEN KITCHEN 
°====
Bei:150,000 kwa mwezi x 3
====
 Umem matumizi yako mwenyew (submit),Maji yanaflow chooni na jikoni 
====
Umbali ni km 1 au dakik 18 kwakutembea 
====
Ndani ya fence parking ipo
====
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15 itadumu mpaka Upate bila kuchajiwa Tena
====
#malipo ya dalali nikodi ya Mwezi mmoja 
===
PIGA SIMU
 0655256419




















