Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Chumba seble jiko choo ndani nyumba mpyaaaa safi kabisa bado kufunga aluminiam na makabati ya jikoni tu
zinapangishwa laki 3 kwa mwezi malipo kuanzia miezi sita umeme na maji unajitegemea
location mbezi beach salasala mwanzoni lami nyumba laki tatu mezani nakupa nyumba safi kabisa piga simu #0714955886whatsapp #0683584418