Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI KUBWA YA KISASA (500,000) 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢
INAPANGISHWA BEI NI SHILINGI 500,000/=
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 14/04/2025 KUONA NDANI ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
🌟 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBS 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBILC TOILET
#MAKABATI YA NGUO VYUMBA VYOTE
#AIR-CONDITION
#PARKING KUBWA
#GARDEN
#FENSI IMEZUNGUSHIWA WAYA WA UMEME
#MAJI DAWASA YAPO MASAA 24
BEI NI 500,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND KUU YA MABASI YA MKOANI
NA KUTOKA MOROGORO ROAD YA STAND HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300