Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA NA ZIPO SEHEMU NZURI
💥ZIPO APARTMENT ZA AINA MBILI TOFAUTI
SEHEMU 'A'
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 200,000/= X 6
SEHEMU 'B'
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
‼️ HAKUNA JIKO
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 100,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA UKAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
KWA MATANGAZO YA KIBIASHARA what's up+255715777904
CONT+255788145810
Karibuni SANA Tz DALALIMICHAELKANYERERE 🇹🇿📞🎤
maikokanyerere904@gmail.com