Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA KM2 KUTOKA LAMI.
-----
Chumba master
Seble
Maji yana flow
Luku 2
Ndani ya fence lakini ailazi gari ndani
------
Service charge 15,000/=
Kodi 120,000/=ร3
------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu
------
Contact
#0575_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big__kimara๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐