Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


250,000
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KWAMSUGURI #250K
===
Vyumba 2 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule, JIKO na public toilet
==
Kodi 250,000 Kwa mwezi × 3
===
Umbali KM 2
===
Nyumba haina fensi Ulinzi kama lugalo , kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
DALALI KISMATI UBUNGO
0772850032