Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


300,000
KIBANDA CHAMKA
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHAMKA #300k
===
Vyumba 3 vya kimoja master bedrooms sebule jiko na public toilet
===
Kodi 300,000 Kwa mwezi × 6
===
Zipo Apartment mbili kwenye kompaundi
===
Ndani ya fence parking IPO inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Umbali KM 2.kutoka Morogoro road
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
#0714335450