Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(100,000 × 6) MBEZI MWISHO KIFURU NJIA YA KINYEREZI
INAKUA WAZI TAR 28/06/2024 ILA KUONA MPAKA NDAN NA KULIPIA NI RUKSA KANISA
NI APARTMENT NZURI SANA YA KUPANGA IPO MBEZI MWISHO KITUO NI KIFURU
#####################
KODI NI 100,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
#####################
SIFA ZAKE
########
CHUMBA MASTER KIKUBWA
SEBULE KUBWA
PUBLIC TOILET YA WAGENI IPO NJE
JIKO ZURI LA KILA MMOJA ANALO LAKE NJE
MAJI NDAN DAWASA YANAFLOW NDANI
LUKU YAKE
MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
#####################
UMBALI NI DK 10 - 15KWA MIGUU KUTOKA KITUONI
HII BARABARA YA LAMI INAYOTOKA MBEZI KUELEKEA KINYEREZ
PIA UKITOKEA MBEZI KWA MSUGURI UNAFIKA NYUMBAN VIZUR SANA NA USAFIRI WA BAJAJI UPO WA UHAKIKA
######################
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300