Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(600,000X6)MBEZI KWA MSUGURI DAKIKA TATU(3) KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: MBEZI KWA MSUGURI
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 5 Kutoka Main Road na Barabara ni Lami Mpaka Getini.
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule kubwa
• Dining
• Vyumba VITATU vya Kulala na Kimoja Wapo Master
• Jiko Kubwa
• Choo Kizuri Ndani
• CCTV CAMERA
• Electrical Fance
• AC
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 600,000 Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 15,000
PIGA SIMU
0719969102
0714903124