Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOM KUBWA SANA NZURI INAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI #100k
Chumba cha kulala Kikubwa Choo ndani
Maji yanaflow chooni
Umeme inajitegemea
Kodi 100,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 2 toka kituoni Boda boda 1000
Ndani ya fence parking kubwa
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0652472014